News

MABOSI wa Simba wameanza kuboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao ili kuongeza ushindani, huku suala la makipa likiwa ...
YANGA imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu 2024/25 likiwa ni taji la 31 tangu kuasisiwa kwa ligi hiyo mwaka 1965, ambalo limetua mitaa ...
Kama Yanga ilikuwa na mpango wa kutetea ubingwa wa Kombe la Toyota mwaka huu huko Afrika Kusini, umekufa rasmi baada ya ...
MWISHO wa ubishi. Ndiyo, ngoja tuone itakuwaje katika fainali ya msimu huu ya Kombe la Shirikisho (FA) inayopigwa Jumapili.
JUA linazama. Ametimiza miaka 38 Jumanne hii iliyopita. Lionel Andres Messi. Tumesafiri naye kwa muda mrefu katika maisha ...
NAPOLI na Juventus zipo tayari kuilipa Manchester United Pauni 25 milioni kwa ajili ya kumsajili winga wa timu hiyo na timu ...
ARSENAL imejiondoa kwenye presha ya kumpoteza staa wao Myles Lewis-Skelly, ambaye alikuwa kwenye rada za Real Madrid baada ya kumsainisha dili jipya la kumbakiza Emirates.
MAISHA yanakwenda kasi sana. Ndiyo hivyo, straika Mario Balotelli yupo kwenye hatua za mwisho za kujiunga na timu ya Daraja la Tatu huko Hispania.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), limemteua Kijo Nadir Nyoni kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Soka ...
ILI kuhakikisha wanatimiza ndoto ya kurejea Ligi Kuu msimu ujao, Stand United 'Chama la Wana' imepiga marufuku muingiliano wa ...
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopokea Warriors Queens kutoka kwa Sauti Sisters, kimeifanya timu hiyo kuwa na hali mbaya zaidi ...
DAKIKA 90 za mchezo kati ya wenyeji Yanga dhidi ya watani zao Simba zimemtosha kocha wa Singida Black Stars, David Ouma ...