JOTO la uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) likiongezeka, mgombea wa nafasi hiyo, Tundu Lissu amependekeza mambo saba yanayopaswa kufanyika ili uchaguzi huo ...
Muungano wa Vyama vya kidemokraisa Duniani (IDU) umemchagua Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti wa Umoja huo. Katika taarifa ...